Mheshimiwa Dkt. Abdallah Possi, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye pia anaiwakilisha nchi huko Austria akiwasili katika Ikulu ya Vienna tayari kwa kujitambulisha rasmi nchini humo kwa kukabidhi hati za utambulisho. 

  • Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani na Austria Mheshimiwa Dkt. Abdallah Possi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Austria Mheshimiwa Dkt. Alexander Van der Bellen kwenye hafla fupi ya kujitambulisha iliyofanyika kwenye Ikulu ya Vienna, Austria.
  • Rais wa Jamhuri ya Austria Mhe. Dkt. Alexander Van der Bellen akizungumza na hatimaye kupiga picha ya pamoja na Mhe. Dkt. Abdallah Possi, Balozi wa Tanzania nchini Austria mwenye makazi yake nchini Ujerumani.