News and Events Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dr. Abdallah Saleh Possi awasilisha Hati zake za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dr. Abdallah Saleh Possi awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais Dr. Frank-Walter Steinmeier jijini Berlin Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dr. Abdallah Saleh Possi --…

Read More

Balozi Philip Sanka Marmo Aagwa na Baba Mtakatifu Papa Francis Baada ya Kumaliza Muda Wake

Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo ameagwa rasmi jana na viongozi wa Vatican, balozi huyo aliyekuwa na makazi yake jijini Berlin, alikuwa anahudumu nchi 10 na nafasi yake hivi sasa…

Read More

Ngoma Africa Band Yamtakia Kila la Heri Balozi Philip Marmo, Yamkaribisha Balozi Dkt. Abdallah Possi

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani imemtakia kila la heri balozi wa Tanzania nchini ujerumani anayemaliza muda wake Mhe. Philip…

Read More

Kongamano la Diaspora 13-15 Agosti, 2015

Kwa Watanzania wote KONGAMANO LA DIASPORA (DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE) KUANZIA TAREHE 13 HADI 15 AGOSTI, 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIA Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu. Ubalozi unapenda kukufahamisha kuwa…

Read More

Uwezeshwaji wa vijana wenye vipaji maalumu

Kwa Watanzania wote KUKUSANYA MAONI KWA AJILI YA KUBORESHA MPANGO MAKAKATI WA KUWAWEZESHA VIJANA WENYE VIPAJI MAALUM Ubalozi umepokea barua ya maombi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya…

Read More

Kongamano la Biashara na Siku ya Mdahalo, 25-26/04/2014 Berlin

  KARIBUNI WOTE   Kama mnavyofahamu kuwa siku ya tarehe 26 Aprili, 2014 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka hamsini (50), kwa lugha nyingine ni “Golden Jubilee”. Katika kuadhimisha…

Read More